Msimu wa machipuko wawadia barani Ulaya
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2019-02-25
Просмотров: 729
Baada ya msimu wa baridi kali,msimu wa machipuko umewadia Ulaya. Jua linaonekana siku nzima na viwango vya joto vinapanda. Kwa ujumla ni kama maisha yanaanza upya kwa viumbe vingi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: