334. Ndoa ya Muda (Mutaa) - Sheikh Abdul Majid
Автор: Imam Hussain Foundation
Загружено: 2018-02-13
Просмотров: 2303
Ni ndoa ya muda maalum uliowekwa na mume na mke kwa makubaliano baina yao.
Aqd ya ndoa ya muda.
Ni sharti muda uainishwe.
Mahari nayo ni lazima yaainishwe.
Wanaoruhusiwa kuoana ni wale wasiokuwa ndugu mahram.
Maana ya Talaka.
Masharti ya talaka ili iswihi.
Hukumu za talaka katika uislamu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: