RAIS SAMIA AKIONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA JENISTA MHAGAMA
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2025-12-13
Просмотров: 32439
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiongoza familia, viongozi, wabunge na waombolezaji wengine, katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Joakim Mhagama, iliyofanyika katika Kanisa la Maria-Theresa Ledochowska, Parokia ya Kiwanja cha Ndege, Jimbo Kuu Katoliki Dodoma, Desemba 13, 2025.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: