LIVE | UAPISHO WA WAZIRI MKUU WA TANZANIA - IKULU, DODOMA
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2025-11-13
Просмотров: 29828
#AzamTV #UTV108 #azamtvmaxapp
Fuatilia Matangazo Mbashara ya Uapisho wa Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.
Dkt. Nchemba anakula kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Uteuzi wa Dkt. Nchemba ulifanyika Novemba 13, 2025 na kuthibitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Matangazo haya pia yanapatikana chaneli ya UTV katika kisimbuzi cha #AzamTV na #AzamTVMaxApp unayoweza kuipakua kwenye simu yako ya mkononi ya #adroid au #ios pamoja na #AzamTVMaxWebb
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: