HOJA MEZANI | Uboreshaji wa taarifa za NIDA na upatikanaji wa vitambulisho
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2025-12-05
Просмотров: 123
Hivi karibuni, serikali ilitoa muda wa mwaka mmoja... kuanzia Oktoba mwaka huu hadi Oktoba 2026 kwa Watanzania kuboresha taarifa zao za Kitambulisho cha Taifa (NIDA).
Ili kufahamu kwa undani utaratibu wa zoezi hilo pamoja na makundi yatakayohusika, ungana na Meneja Usajili na Utambuzi wa NIDA, Yohana Andeshi Kiyoya, pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa taasisi hiyo, Jacqueline Mosha.
#azamtvupdates
Imeandaliwa na Juliana James
Mhariri | John Mbalamwezi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: