Aliyekuwa Mhandisi Halmashauri ya Wilaya ya Uyui aburuzwa mahakamani
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-11-16
Просмотров: 620
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoani Tabora imewaburuza mahakamani maafisa watatu kutoka halmashauri za wilaya ya Uyui na Nzega akiwemo aliyekuwa Mhandisi wa halmashauri ya Wilaya ya Uyui Stephen Nyanda pamoja na Wahasibu wawili wa halmashauri ya wilaya ya Nzega Bikilile Mahyenga na Andrew Ndaba ambao wamejumuishwa kwenye kesi mpya sita zilizofunguliwa mahakamani hivi karibuni.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: