Mmoja wa waathirika wa ukatili dhidi ya wanawake asimulia yaliyomkuta DRC
Автор: Habari za UN
Загружено: 2025-11-25
Просмотров: 81
#HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili #16Days
Leo tunaelekea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC. Katika kuadhimisha siku hii ya Kimataifa ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake inayoafanyika kila mwaka 25 Novemba , mwaka huu imebeda maudhui “Ukatili wa kidijitali ni ukatili halisi. Hakuna hoja yoyote kwa ukatili mtandaoni.” Leo pia zinaanza siku 16 za uanaharakati kuelimisha umma kuhusu janga hii la ukatili. Basi tunaungana na George Musubao kutoka Radio washirika wetu Kashindi FM iliyojo mjini Beni amezungumza na mmoja wa waathirika wa ukatili wa kingono.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: