MGOGORO WA KUGOMBEA KITONGOJI, MANYARA NA DODOMA WAPATIWA UFUMBUZI
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2018-08-24
Просмотров: 2275
Mgogoro wa muda mrefu wa kitongoji cha Lararami kilichopo mpakani mwa mikoa ya Dodoma na Manyara, umepatiwa ufumbuzi baada ya nyaraka kuonyesha kipo kwenye kijiji cha Itolwa Kata ya Jangalu Wilayani Chemba Mkoani Dodoma.
Awali, wananchi wa Kitongoji hicho ambao wengi wao ni jamii ya wafugaji walitaka watambulike kuwa wapo kwenye kijiji cha Katikati kata ya Makame wilayani Kiteto mkoani Manyara
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: