SAKATA LA ARDHI CHEMBA, KITETO LAZUA MJADALA, SPIKA ATOA NENO
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2025-01-29
Просмотров: 709
DODOMA: MJADALA mzito umeibuka bungeni leo Januari 29 wakati Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geofrey Pinda alipoliambia Bunge kuwa malalamiko ya wananchi 1,000 wa kata za Mrijo na Jangalo yalishafanyiwa kazi na Serikali kupitia Ofisi za Wakuu wa Wilaya za Chemba na Kiteto mwaka 2015/16 na mwaka 2023 ambapo eneo wanalodai wananchi kuwa ni ardhi yao kwa ajili ya kilimo lilishabainishwa kuwa lipo Wilaya ya Kiteto, Mkoa wa Manyara.
Majibizano hayo yaliingiliwa kati na Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson kufuatia swali lililoulizwa na Mbunge wa Chemba, Mohamed Lujuo Monni aliyetaka kujua lini mashamba hayo yatarudishwa kwa wananchi ili kazi za kilimo ziendelee.
Imeandaliwa na Adam Lutta
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: