CHECHE ZA ASKOFU GWAJIMA BUNGENI LEO, APIGA NONDO KUHUSU CORONA
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-02-10
Просмотров: 91531
Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima amesimama bungeni leo February 10, 2021 na ametoa mchango wake kuhusu Mapendekezo ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (2021/22 – 2025/26) na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Mwaka 2021/22 pamoja na Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2021/22.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: