Siku ya Majiji - Tanga na fursa za kiuchumi miongoni mwa majiji yanayokua kwa kasi nchini
Автор: Azam TV
Загружено: 2022-11-02
Просмотров: 349
Katika kuadhimisha 'Siku ya Majiji Duniani', mkoa wa Tanga ni miongoni mwa majiji yanayokua hapa nchini ukiwa na fursa nyingi za uwekezaji kwaajili ya maendeleo.
Mbali ya ardhi nzuri kwa kilimo cha mazao ya chakula na matunda Tanga pia ina fursa kwa njia ya bahari na ardhini.
Mkurugenzi wa Jiji hilo anabainisha na kufafanua kuhusu fursa hizo na namna ya kuzipata kwa mustakabali mzuri wa maendeleo ya jiji hilo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: