FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA JIJI LA TANGA
Автор: Tanga TV Online
Загружено: 2022-10-25
Просмотров: 648
Halmashauri ya jiji la Tanga imesema imedhamiria kuleta mabadiliko ya kiuchumi na kuinua uchumi wa wananchi wa jiji Hilo kupitia uwekezaji wa Aina mbalimbali ikiwemo viwanda,kilimo,uchumi wa bluu,uwanja wa ndege,Bomba la mafuta ghafi,eneo linalofaa Kwa ufugaji pamoja na bandari
Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa jiji la Tanga dkt Sipora Liana wakati Akizungumza na waandishi WA habari ofisini kwake juu ya dhamira ya kutangaza fursa ZA uwekezaji zilizopo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: