NAIBU MEYA TANGA JIJI AHIMIZA ELIMU DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA
Автор: Tanga TV Online
Загружено: 2025-12-19
Просмотров: 92
Naibu Meya wa Jiji la Tanga Mhe.Khalidi Rashid ameikumbusha jamii na wadau wa mapambano dhidi ya dawa za kulevya kuendelea kutoa elimu ya athari za dawa za kulevya ili kuiokoa kutokana na athari za dawa hizo.
Mhe.Rashid amesema hayo wakati akifunga mafunzo ya URC ( Universal Recovery Curriculum) kwa wataalamu wa usaidizi wa upataji nafuu yaliyotolewa na Taasisi ya Gift Of Hope .
akizungumza katika hafla hiyo Mhe. Rashid amesema kuwa Halmashauri ya Jiji la Tanga itaendelea kutoa Ushirikiano kwa Taasisi hiyo ili kuendeleza mapambano dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya ambazo amezitaja kuwa zimekuwa zikiathiri nguvu kazi ya Taifa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: