MADEREVA WAZEMBE TANGA KUCHUKULIWA HATUA .
Автор: Tanga TV Online
Загружено: 2025-12-31
Просмотров: 50
Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani mkoa wa Tanga limesema halitawafumbia macho madereva wazembe na wanaotumia kilevi wakiwa wanaendesha vyombo vya moto.
Hayo yamesemana Mrakibu mwandamizi wa Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama barabarani mkoa wa Tanga (RTO) Willy Mwamasika wakati akizungumza na madereva pamoja na wananchi katika stendi ya Ngamiani jijini na kuwataka madereva wote wanaoendesha vyombo vya moto kutii sheria bila shuruti wanapokuwa barabarani.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: