“WASIMAMIZI WA UCHAGUZI WAJIONDOE KWENYE MAKUNDI YA WHATSAPP” -INEC
Автор: TZA MEDIA HUB
Загружено: 2025-07-17
Просмотров: 97
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka wasimamizi wa uchaguzi katika mikoa ya Tanga na Kilimanjaro kujiondoa mara moja kwenye makundi ya mitandao ya kijamii yasiyo rasmi ili kulinda usiri, weledi, na uadilifu wa mchakato wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
Kauli hiyo imetolewa na Dkt. Zakika Abubakari, Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi, wakati wa kufunga mafunzo ya siku tatu kwa wasimamizi wa uchaguzi wa ngazi ya halmashauri yaliyofanyika mjini Moshi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: