Hizi ni Faida 7 za Kuanzisha Airbnb Katika Miji ya Tanzania!
Автор: How to Start Business Channel
Загружено: 2025-09-27
Просмотров: 156
Kama una nyumba ya kupanga ambayo hupati pesa ya kutosha AirBNB ndiyo suluhisho la tatizo. Jiji la Dar es Salaam lina wastani wa wasafiri kutoka nje karibu 50,000. Hotel ziko chache hivyo haziwezi kutosheleza idadi kubwa hiyo ya wageni kutoka nje ya nchi. Naona kuna fursa hapa ya kutumia nyumba yako ambayo haina wapangaji kam AirBNB. Kupitia utaratibu wa AirBNB unaweza kutumia nyumba yako kufanya biashara nzuri na yenye faida kubwa. Biashara ya AirBNB inaweza kukupa pesa ya kodi ya pango ya mwaka mzima ndani ya miezi 3 TU. Kipindi hiki nitakueleza faida 7 za kuanzisha biashara ya kupangisha nyumba kwa utaratibu wa AirBNB
How to start business Channel tunatoa elimu ya kuanzisha na kuendeleza biashara, kwa vijana waliomaliza vyuo vikuu na wanataka kujiajiri. Tunatoa elimu ya jinsi ya kuanzisha na kuendeleza biashara, elimu ya hesabu za biashara na uwekezaji katika biashara. Pia tunatoa elimu ya ujasiriamali kupitia vitabu, videos, website, Online School na Online Television
1. Kupata eBooks, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
2. Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab...
3. Website yetu: https://www.tanbusiness.co.tz
4. Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: / tanbusiness
Instagram: / tanbusiness
YouTube: / alimwambola
#howtostartbusiness #businessstartup #alimwambola #BiasharaTZ #YoungEntrepreneurs
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: