HAUHITAJI KUWA NA NYUMBA KUANZA AIRBNB
Автор: Judith Mwanri
Загружено: 2023-10-14
Просмотров: 3784
Airbnb ni mtandao unaounganisha wageni na wenyeji wenye makazi ya muda mfupi (Stays). Pia wanahuduma ya makazi ya muda mrefu na matukio ya kusisimua (Experiences).
Airbnb ni biashara ya Hotel 90% ila tu inafanyika kwenye Nyumba Nzima (Entire Home), Chumba Binafsi (Private Room) au Shared Room (Chumba cha Kutumia wengi).
Unaweza kuanza Airbnb kwa kutumia chumba chako extra nyumbani kwako, watoto wakienda shule au kuibadilisha ile nyumba ya wapangaji kuwa Ben & Breakfast au Hostel (shared).
Kufanya Airbnb ni kutumia Airbnb kuingiza kipato/pesa, yaani unatangaza makazi yako kwenye mtandao huo na kupata wateja watakaolipa kwenye mtandao huo. Kuna njia 7 za kutumia Airbnb kutengeneza Pesa, 5 kati ya hizo hazihitaji uwe na pesa yeyote bali ujuzi tu.
Asilimia 70% ya watu wanaofanya Airbnb duniani hawana nyumba bali wanaujuzi wa kutumia Airbnb. Ujuzi wa kutumia Airbnb ndio utakaokuletea bookings na mwisho wa siku pesa. Na huduma zingine utakazotoa kwa wageni wako zitakupatia pesa zaidi.
Njia 7 za kuanza Airbnb:
1. Kufanya Co-hosting
2. Kutengeneza Maudhui ya Picha na Maandishi kwa ajili ya Matangazo
3. Kusimamia shughuli za Bed & Breakfast (BnB Manager)
4. Airbnb Experience #airbnb #africa #home #mamasamia #millardayo #realestate #shorttermrentals #design #bagamoyo
5. Kutengeneza maudhui ya Airbnb na kushea watu wajiunge kupitia link yako
6. Kupanga Nyumba na Kuigeuza BnB
7. Kumiliki Nyumba
Wasiliana nami wa.me/255744112003 kujua zaidi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: