Namna Ya Kuanza AirBnB Kwa Mtaji Mdogo Au Bila Mtaji Kabisa, Tengeneza 800,000 Hadi 5,000,000/Mwezi
Автор: Uza Kitajiri
Загружено: 2025-05-09
Просмотров: 22648
Tengeneza hadi milioni 5 kwa mwezi kupitia biashara ya ukodishaji wa nyumba kwa muda mfupi (Airbnb), kwa kuanza na mtaji mdogo au bila kuwa na mtaji kabisa. Video hii itakuonyesha njia nne ambazo unaweza kutumia kuanza biashara hii — na kati ya hizo, mbili zinahitaji aidha mtaji mdogo au hazihitaji mtaji kabisa. Tizama video hii uanze safari yako ya kutengeneza kipato cha ziada na kujiongezea mkondo mwingine wa pesa.
📌 Jiunge na Darasa la AirBnB Kitajiri
BOFYA HAPA KUJIUNGA 👉🏾👉🏾 https://wa.link/p1n4kt
Usisahau kusubscribe ili usipitwe na mafunzo mengine ya kitajiri.
🏡 Kupata Taarifa Zaidi Kuhusu "The Premium 4-Bedroom Duplex Apartment" iliporekodiwa video hii: BOFYA HAPA 👉🏾👉🏾 https://wa.link/x6h00h
Tizama Video Za Awali:
• Ifahamu Biashara ya AirBnB Ndani Ya Dakika 9
🔗 Tufuate pia kwenye mitandao ya kijamii:
Instagram: @airbnbkitajiri
TikTok: @airbnbkitajiri
#Tanzania #AirbnbKitajiri #Daressalaam #ShortTermRentals #Masoko #Tajiri #PropertyInvestment #Biashara #Fursa #pesa #Zanzibar #Arusha #Airbnb
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: