Mabadiliko mapya kwa machinjio ya Vingunguti
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2016-06-01
Просмотров: 4759
Baada ya kufungiwa kwa machinjio ya Vingunguti kwa mda na mamlaka ya chakula na dawa TFDA kwasababu ya mbalimbali ambayo yalikuwa yanaikabili machinjio.
Sasa machinjio hayo yamefunguliwa baada marekebisho kufanyika na utaratibu utakaokuja kwa wale watakao kuwa wanaingia ndani ya machinjio kutakiwa kuwa na vitambulisho maalum
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: