Joseph Mbilinyi: Maisha yangu yalibadilishwa kwa kukisoma kitabu kimoja tu
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2022-06-17
Просмотров: 4064
Wiki hii katika Nyota wa Afrika Mashariki tunamuangazia mwanamuziki nguli wa Hip Hop nchini Tanzania Joseph Mbilinyi a.k.a Mr 2 Sugu ambaye ni mwanamuziki, mwanasiasa na muandishi.
Mr 2 Sugu amekuwa kwenye sanaa kwa takribani miaka 30.
Alifanikiwa kuliwakilisha jimbo la Mbeya Mjini kama mbunge kwa miaka 10.
Na hivi karibuni ameandika kitabu alichosimulia mambo mengi iliyopitia katika muziki ikiwa ni funzo kwa vijana wanaopambania ndoto zao kupitia muziki.
Video: 🎥: Frank Mavura
#bbcswahili #tanzania #sanaa #siasa #muziki
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: