NYOTA YA MAPACHA(CO) ||PATA KAZI KWA URAHISI.
Автор: Mgeta official
Загружено: 2024-10-11
Просмотров: 536
Katika video iliyopita tulizungumza kuhusiana na nyota ya ng'ombe tukaelekezana n kwa namna gani watu hawa wanaweza kupata kazi au kufanikisha jambo lolote lile kwa urahisi kwa mujibu wa nyota Yao.
Katika video hii tutazungumza ni kwa namna gani watu wenye nyota ya mapacha wanaweza kupata kazi au kufanikisha jambo lolote lile kwa urahisi kwa mujibu wa nyota Yao.
Tulisema nyota ya mapacha inahusisha watu ambao majina Yao yanaanza na herufi C au herufi O.
Usisahau ku subscribe, like, comment, share video hii kwa watu wengine ili tuweze kujifunza kwa pamoja.
#mafanikio #nyota #africa #astrology #challenge #mystics#kazı
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: