Jimbo la Babati Vijijini limepata mwanaume, limepata Jitu la kazi - Mh. Mbunge Flatey Massay
Автор: Bibititi Tv
Загружено: 2018-04-09
Просмотров: 532
Mbunge wa JIMBO la Babati vijijini, Mkoani Manyara Jitu soni atoa msaada wa mabati 230 kwa ajili ya upauzi wa kituo cha Afya za Galapo, mbunge 7 wa mkoa huo walimuunga mkono kwa kuchangia sh.mil.1.4
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: