MAMIA WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA DKT. NUWAS MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MBULU VIJIJINI
Автор: Bibititi Tv
Загружено: 2025-08-26
Просмотров: 638
MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA MBULU VIJIJINI ACHUKUA FOMU YA UBUNGE AAHIDI MAENDELEO NA KUWAUNGANISHA WANANCHI.
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Mbulu Vijijini kwa tiketi ya CCM Dr.Emanuel Nuwas amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo katika Ofisi za Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo hilo ambapo alimbatana na mamia ya wananchi waliomsindikiza na kuahidi kuwa atawaletea maendeleo katika sekta ya maji,barabara na elimu pamoja na kuwaunganisha wananchi bila kujali toafuti zao za kijamii na kiitikadi .
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: