Mkutano wa Kampeni mgombea Ubunge Simanjiro James Millya-Terrat Sep.25,2025
Автор: Orkonerei Digital
Загружено: 2025-09-26
Просмотров: 1380
Mgombea Ubunge Jimbo la Simanjiro kupitia chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg.James Millya ameendelea na kampeni zake za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa ili kuwawakilisha wakaazi wa Simanjiro Bungeni (2025-2030).
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: