WANANCHI WALIA NA MAJINA YA WATIA NIA KUKATWA, MBULU
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2025-08-04
Просмотров: 1616
#HABARI: Wananchi wilayani Mbulu, mkoani Manyara, wamelalamikia hatua ya baadhi ya watia nia wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbulu vijijini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuenguliwa katika kinyang`anyiro hicho akiwemo aliyekua Mbunge wa Jimbo hilo, Bw. Flatei Gregory licha ya kukubalika na wananchi kutokana na kazi alizozifanya kipindi cha uongozi wake.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: