Mjue Mbunge machachali kuliko wote, katika bunge la Tanzania
Автор: Bibititi Tv
Загружено: 2018-04-08
Просмотров: 10766
Mbunge wa jimbo la Mbulu Vijijini mh.Flatei Glegory Massay, amempongeza mbunge wa JIMBO la Babati Vijijini mh Jitu Soni kwa kuwaunganisha katika utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika jimbo lake, ambapo alikabidhi mabati 230 kwa uongozi wa kata ya Galapo kwa ajili ya upauzi wa kituo cha Afya cha Galapo, huku akiwa na wabunge 7 wa Ccm
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: