ILEMELA Kinara Utekelezaji Miradi ya Maendeleo Mwanza
Автор: Global TV Online
Загружено: 2018-12-03
Просмотров: 459
ILEMELA Kinara Utekelezaji Miradi ya Maendeleo Mwanza.
Viongozi wa kamati ya ALAT Mkoa wa Mwanza wamefanya ziara katika wilaya ya Ilemela na kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ambapo miradi iliyotembelewa na kamati hiyo ni Zahati,Ujenzi wa shule ya msingi na sekondari na mradi wa maji katika kata ya Kayenze.
Wajumbe wa kamati hiyo wameridhishwa na utekelezaji wa miradi hiyo kwani imetekelezwa kwa kiwango kinachotakiwa na kuzitaka halmashauri zingine kuiga mfano huo ili kutekeleza ilani ya chama cha mapinduzi katika kusimamia serikali kuwaletea wananchi maendeleo.
Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw
Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL
Website: www.globalpublishers.co.tz
FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers
Instagram: www.instagram.com/globalpublishers
Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari
Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: