WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDERICK SUMAYE AONGOZA MAMIA KUMZIKA ALIYEKUWA WAZIRI MATEO QARES...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2025-07-15
Просмотров: 1948
WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDERICK SUMAYE AONGOZA MAMIA KUMZIKA ALIYEKUWA WAZIRI MATEO QARES...
Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye ameongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora , Marehemu Mateo Qares , yaliyofanyika katika Kijiji cha Nakwa , Kata ya Bagara , Wilaya ya Babati mkoani Manyara.
Akizungumza wakati wa ibada ya mazishi , Sumaye amewataka wananchi wa Mkoa wa Manyara na Watanzania kwa ujumla , kumuenzi Marehemu Qares kwa kupinga rushwa , hususan wakati huu wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu . Amesema njia pekee ya kupata viongozi bora kama Marehemu Qares ni kuchagua watu wanaotanguliza maslahi ya taifa badala ya kuhongwa .
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: