"NILIACHA KUMSALIMIA SUMAYE, HANIUNGI MKONO" - MSTAAFU PINDA
Автор: Global TV Online
Загружено: 2020-03-29
Просмотров: 40823
"NILIACHA KUMSALIMIA SUMAYE, HANIUNGI MKONO" - MSTAAFU PINDA
"Walipoondoka kaka zangu hawa nilipata wakati mgumu sana, wakati mwingine nilitamani kwenda kumsalimia kaka yangu SUMAYE maana ni jirani yangu lakini nilishindwa,ila sasa hivi hakuna kikwazo cha kwenda kunong'ona nae," Waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda.
Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye, leo Machi 29, 2020 amerudi rasmi ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na kupokelewa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Bashiru Ally katika ofisi za CCM mkoa wa Dodoma ambapo pia amekabidhiwa kadi ya chama hicho.
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
(+255 784 888982)
(+255 676 229628)
Email: [email protected]
[email protected]
HABARI MPYA DAILY:
http://bit.ly/habarimpya
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
GLOBAL RADIO TV:
http://bit.ly/255globalradio
EXCLUSIVE INTERVIEW:
http://bit.ly/exclusive_interviews
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Subscribe http://bit.ly/globaltvonline
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: