Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 15/01/2026

Автор: KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH

Загружено: 2026-01-15

Просмотров: 4180

Описание:

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 15/01/2026

UJUMBE WA LEO: UNAFANYAJE KUNAPOKUWA NA TESO LA KUJIRUDIA RUDIA KWENYE LANGO LA FAMILIA
(MLIVYOZUNGUKA MLIMA HUU VYATOSHA)

3) Watu Wenye Ndoto Kubwa na Maono ya Mbali.

Ayubu 38 : 12 - 13

12 Je! Umeiamuru asubuhi tangu siku zako zilipoanza? Umeyajulisha mapambazuko mahali pake?

3 Yapate kuishika miisho ya nchi, Waovu wakung'utwe wakawe mbali nayo?

Zaburi 78:6
Ili kizazi kingine wawe na habari, Ndio hao wana watakaozaliwa. Wasimame na kuwaambia wana wao

Waamuzi 11 : 1 - 3
1 Basi huyo Yeftha, Mgileadi, alikuwa mtu shujaa sana, naye alikuwa ni mwana wa mwanamke kahaba; Gileadi akamzaa Yeftha.

2 Mkewe huyo Gileadi akamzalia wana; na hao wana wa mkewe hapo walipokuwa wamekua wakubwa wakamtoa Yeftha, na kumwambia, Wewe hutarithi katika nyumba ya babaetu; kwa sababu wewe u mwana wa mwanamke mwingine.

3 Ndipo Yeftha akawakimbia hao nduguze, akakaa katika nchi ya Tobu; na watu mabaradhuli walikwenda na kutangamana na Yeftha, wakatoka kwenda pamoja naye.

Nehemia 1 : 1 - 4
1 Habari za Nehemia, mwana wa Hakalia. Ikawa katika mwezi wa Kisleu, mwaka wa ishirini, nilipokuwapo Shushani ngomeni,

2 Hanani, mmoja wa ndugu zangu, akanijia, yeye na watu wengine waliotoka Yuda; nami nikawauliza habari za Wayahudi waliopona, hao watu wa uhamisho waliosalia; na habari za Yerusalemu.

3 Wakaniambia, Watu wa uhamisho, waliosalia huko katika wilaya ile, wamo katika hali ya dhiki nyingi na mashutumu; tena ukuta wa Yerusalemu umebomolewa, na malango yake yameteketezwa kwa moto.

4 Hata ikawa niliposikia maneno hayo, nikaketi, nikalia, nikaomboleza siku kadha wa kadha; kisha nikafunga, nikaomba mbele za Mungu wa mbinguni;

Hawa ni watu wanaotamani kuvuka mipaka ya familia, mazingira, na historia ya ukoo.

Kwa nini hukutana na vizuizi?

Ni neema iliyo juu yao ya kuona vitu kwa mtazamo tofauti na kupambana kuleta mabadiliko, Huwa wanasumbuka sana na hali ilivyo kwenye Familia, kwenye ukoo kwenye taasisi wakati wengine wanaona ni jambo la kawaida.

Watu ambao kila Mwaka wanawaza kujenga Kuta za Familia, ukoo, taasisi zilizovunjika kila ukisikia habari ya kwenu inakuumiza na kukutesa wakati wengine wanapokea kawaida,
Mipaka ya familia inapambana nao.

Ndio Watu ambao tutaambiwa amesoma sana Mpaka wamechanganyikiwa Vita ya miungu inayovuruga alichobeba.

Ndio watu ambao wanapoteza focus kwa haraka na hatujui nini kimewapata!

Wanabeba Uchungu na maumivu kiasi cha kupoteza uelekeo.

Vita haviendi kwa wepesi kwenye maisha yao.

KWA NINI ADUI ANANYANYUA VITA JUU YAO?

Kuuwa Maono na Mipango ya kivizazi.

Shetani hana shida na kazi matokeo na baraka yoyote isiyo na mwendelezo wa kivizazi.

2 Samweli 7 : 12 - 16
12 Nawe siku zako zitakapotimia, ukalala na baba zako, nitainua mzao wako nyuma yako, atakayetoka viunoni mwako, nami nitaufanya imara ufalme wake.

13 Yeye ndiye atakayejenga nyumba kwa jina langu, nacho kiti cha enzi cha ufalme wake nitakifanya imara milele.

14 Mimi nitakuwa baba yake, naye atakuwa mwanangu; akitenda maovu nitamwadhibu kwa fimbo ya binadamu na kwa mapigo ya wanadamu;

15 lakini fadhili zangu hazitamwondoka, kama vile nilivyomwondolea Sauli, niliyemwondoa mbele yako.

16 Na nyumba yako, na ufalme wako, vitathibitishwa milele mbele yako. Nacho kiti chako kitafanywa imara milele.

VITA YA UZAO INAYOVURUGA UWEZO

1. Kuwaondoa wanao kwenye kweli ya Mungu ili ukose mrithi wa vitu vya Ki-Mungu ulivyobeba.
(Mjue sana Mungu ili uwe na Amani ndivyo mema yatakujilia).

Mwanzo 18 : 17 - 19
17 Bwana akanena, Je! Nimfiche Ibrahimu jambo nilifanyalo,

18 akiwa Ibrahimu atakuwa taifa kuu, hodari, na katika yeye mataifa yote ya dunia watabarikiwa?

19 Kwa maana nimemjua ya kwamba atawaamuru wanawe, na nyumba yake baada yake waishike njia ya Bwana, wafanye haki na hukumu, ili kwamba Bwana naye akamtimizie Ibrahimu ahadi zake.

Vita nyingine ya Msimu mpya ni vita ya adui kugusa Uzao wako ili kuvuruga ulichobeba.

Waamuzi 2 : 8, 10

8 Kisha Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa Bwana, akafa, naye alipata umri wa miaka mia na kumi.

10 Tena watu wote wa kizazi hicho nao walikusanywa waende kwa baba zao; kikainuka kizazi kingine nyuma yao, ambacho hakikumjua Bwana, wala hawakuijua hiyo kazi ambayo alikuwa ameitenda kwa ajili ya Israeli.

Mhubiri: Mwl.James Kamera

Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
YouTube: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe : Kijitonyamalutheran@gmail.com

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 15/01/2026

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS 16/01/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS 16/01/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 16/01/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 16/01/2026

Mke wa CEO alimwalika mfanyakazi maskini kwenye harusi yake kwa mzaha, lakini alipofika alishangaa .

Mke wa CEO alimwalika mfanyakazi maskini kwenye harusi yake kwa mzaha, lakini alipofika alishangaa .

PADRI KITIMA ashindwa kujizuia mbele ya waandishi wa habari alipua bomu jingine wakatoliki washangaa

PADRI KITIMA ashindwa kujizuia mbele ya waandishi wa habari alipua bomu jingine wakatoliki washangaa

UKIMUELEWA MCH. KIMARO MWAKA HUU UTAKUWA WA MAFULIKO YA BARAKA ZAKO! | (Part2) ~ Rev. Eliona Kimaro

UKIMUELEWA MCH. KIMARO MWAKA HUU UTAKUWA WA MAFULIKO YA BARAKA ZAKO! | (Part2) ~ Rev. Eliona Kimaro

A -Z KUHUSU UTT-Amis | WATU HUPATA VIPI FAIDA KUPITIA VIPANDE?  Elimika Na Mwl. Emilian Busara C.P.A

A -Z KUHUSU UTT-Amis | WATU HUPATA VIPI FAIDA KUPITIA VIPANDE? Elimika Na Mwl. Emilian Busara C.P.A

ROSE MUHANDO AFUNGUKA KUHUSU NDOA YA KENYA | SIJAOLEWA

ROSE MUHANDO AFUNGUKA KUHUSU NDOA YA KENYA | SIJAOLEWA

AKAOMBA TENA MBINGU ZIKATOA MVUA | DAY XIV | PANA SAUTI YA MVUA TELE | Mwl.Emilian Katubayemo

AKAOMBA TENA MBINGU ZIKATOA MVUA | DAY XIV | PANA SAUTI YA MVUA TELE | Mwl.Emilian Katubayemo

Neema Gospel Choir - Umenipendelea (Live Music Video)

Neema Gospel Choir - Umenipendelea (Live Music Video)

"MABADILIKO YA NDANI" (INNER CHANGES) / REV. DR.ELIONA KIMARO

ROSE MUHANDO AKATAA KUOLEWA NA MCHUNGAJI ADAI HANA MUME, AFUNGUKA SAKATA LINALOENDELEA KUDAI FEDHA

ROSE MUHANDO AKATAA KUOLEWA NA MCHUNGAJI ADAI HANA MUME, AFUNGUKA SAKATA LINALOENDELEA KUDAI FEDHA

"KUWA NA VYANZO WALAU 7 VYA MAPATO KWA MBINU HIZI NNE." ~ Mw. Emilian Busara (C.P.A)

Paul Clement ft Pastor Fred Msungu - Ahadi ( Official Video )

Paul Clement ft Pastor Fred Msungu - Ahadi ( Official Video )

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 14/01/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 14/01/2026

Dada Zuwena ameachishwa kazi wiki mbili kabla ya kumaliza mkataba… KULIKONI??? 1/4

Dada Zuwena ameachishwa kazi wiki mbili kabla ya kumaliza mkataba… KULIKONI??? 1/4

Alimtesa Msichana Wake Wa Kazi Bila Kujua Ni Mwanae Wa Kumzaa | Alijuta Baada Ya Kugundua Kuwa Ni...

Alimtesa Msichana Wake Wa Kazi Bila Kujua Ni Mwanae Wa Kumzaa | Alijuta Baada Ya Kugundua Kuwa Ni...

DAY 15 | KUKOMESHA UOVU WA FAMILIA | Mwl Benjamin Abel | 17 January, 2026

DAY 15 | KUKOMESHA UOVU WA FAMILIA | Mwl Benjamin Abel | 17 January, 2026

KWA NEEMA HII UTAFANYA HATA YALE YASIYOWEZEKANA MWAKA HUU ! Rev. Eliona Kimaro (Part 1)

KWA NEEMA HII UTAFANYA HATA YALE YASIYOWEZEKANA MWAKA HUU ! Rev. Eliona Kimaro (Part 1)

MAAMUZI JUU YA FEDHA YANAVYOAMUA KUFANIKIWA AU KUTOKUFANIKIWA KWA MALENGO YAKO // MWL C MWAKASEGE.

MAAMUZI JUU YA FEDHA YANAVYOAMUA KUFANIKIWA AU KUTOKUFANIKIWA KWA MALENGO YAKO // MWL C MWAKASEGE.

Alimkana Mama yake masikini siku ya Harusi yake ILI Amuoe mwanamke tajiri...

Alimkana Mama yake masikini siku ya Harusi yake ILI Amuoe mwanamke tajiri...

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com