AICT NZEGA TOWN CHOIR (NTC) - KIBALI
Автор: AICT Nzega Town choir - NTC
Загружено: 2024-11-24
Просмотров: 8821
#Kibali ni moja kati ya nyimbo kumi tulizofanikiwa kuzzirekodi katika ibada ya (USIKU WA NZEGA TOWN CHOIR) 7July 2024 ndanni ya kanisa la AICT NZEGA - Tabora
Tunaamini wimbo huu utafanyika ibada na baraka katika maiisha yako, hasa ukitafakari kibali chha BWANA katika maisha yako. Ni kweli Mungu amekupa kibali utumike shambani mwake, hivyo wimbo huu unatukumbusha jinsi gani MUNGU alitupa Neema ya uhai ili tumtumikie yeye.
Shukrani za pekee kwa producer wa audio Makeremo Kelly na studio ya Reflex pale Mwanza, bila kuwasahau waalimu wote walishirikiana nasi wakiongozwa na Mwl. Batholomeo Magullu. bila kuwasahau kampuni ya @GLCmediaTV chini ya Director Sumuni kwa kufanikishha kurekodi video hii.
Pia tunawashukuru viongozi wote wa kanisa ppamoja na waamini wote wa kanisa la AICT NZEGA kwa ushirikiano wao kwetu.
USISAHAU KU SUBSCRIBE
MUNGU AKUBARIKI
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: