MANGEKIMAMBI AVUNJA UKIMYA AMJIBU RAIS SAMIA VIFO VYA WATANZANIA HOTUBA YA BUNGENI LEO
Автор: UHURU MEDIA ONLINE
Загружено: 2025-11-14
Просмотров: 28973
Rais Samia amehutubia bungeni Leo na kwa mujibu Wa Sheria vikao vya Bunge vimeanza rasmi. Rais Samia Kwa mara ya kwanza amezungumzia maamdamano ya October 29 ambapo vijana waliuwawa na vikosi vya ulinzi na Usalama. Rais Samia kwa majonzi amehuzunishwa na vifo vya watanzania na amesema tume ya kuchunguza vurugu za October 29 imeundwa. Rais Samia amesema pia vijana ambao walikamatwa kipindi cha maamdamano na kushtakiwa kwa uhaini waachiwe. Ameagiza ofisi ya DPP kuhakikisha vijana wote wanaachiliwa na kurudishwa kwenye familia zao. Mangekimambi amemjibu rais Samia kuhusu hotuba yake bungeni Leo.
#raissamia #raissamiasuluhuhassan #bungenidodoma #bungeni #mangekimambi #mangekimambi_
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: