DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Machi 31, 2025 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-03-31
Просмотров: 4580
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Machi 31, 2025 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
+++ Mahakama moja nchini Ufaransa leo imempata na hatia kiongozi wa siasa kali za mrengo wa kulia Marine Le Pen kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za umma kutokana na kashfa ya ajira bandia katika Bunge la Ulaya
+++Waumini wa Kiislamu Tanzania washerehekea sikukuu ya Eid ul Fitr
. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #HabariZaUlimwenguPodcast #dwkiswahilipodcast Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: