Kijana anayetuhumiwa kwa mauaji polisi kisiwani Lamu ajisalimisha
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2020-08-12
Просмотров: 20751
Mwanaume mmoja ambaye amekuwa akisakwa na polisi kwa mauaji ya afisa wa polisi kisiwani Pate, kaunti ya Lamu, amejisalimisha kwa maafisa wa usalama. Arafat Abdalla mwenye umri wa miaka 30 amekuwa akiishi vichakani kwa muda wa miezi mitatu na leo amesalimu amri na kujisalimisha kwa polisi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: