Silabi / Unda Silabi/Kiswahili/ Silabi za Kiswahili
Автор: Jifunze Kiswahili na Bi Mercy
Загружено: 2023-11-20
Просмотров: 36734
Silabi ni tamko, ambapo sauti za lugha hutamkwa mara moja na kwa pamoja. Kama vile
b+a=ba
b+e=be
b+i=bi
b+o=bo
b+u=bu
ba, be , bi, bo na bu ni silabi za kiswahili ambazo zimetengenezwa kutumia sauti za kiswahili (Konsonanti na Irabu)
b ni konsonanti, na a ni irabu… Ukiziunganisha unapata silabi ba!
Tazama video ya sauti ili ujikumbushe
• Sauti za Kiswahili//Konsonanti//Irabu//Soma
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: