Hospitali ya Kitengela yalaumiwa kwa kumwacha mama ambaye mtoto alifariki tumboni
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-01-24
Просмотров: 1948
Hospitali ya Kitengela ya level 4 hii leo imejipata kwenye darubini kwa tuhuma za kukataa kumhudumia mama mmoja ambaye mtoto wake alifariki tumboni siku tatu zilizopita. Mwanamke huyo, abigael mutubula anasema kuwa alifanyiwa ukaguzi hospitalini na kuarifiwa kuwa mwanawe alikuwa amefariki alhamisi, ila tangu siku hiyo, hajapata usaidizi. Runinga ya citizen ilipofika katika hospitali hiyo, ilimpata mama huyo akiwa katika hali mbaya nje ya lango la hospitali
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: