Walimu wakuu njia panda baada ya agizo la kuwapokea wanafunzi wa gredi ya kumi bila karo
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-01-24
Просмотров: 1228
Agizo la serikali kwa walimu wakuu kuwaruhusu wanafunzi wa gredi ya kumi kuripoti shuleni bila karo au vifaa vinavyohitajika limewaacha walimu hao kwenye njia panda. Walimu hao wanalalamikia kushinda kukithi mahitaji mengine ya wanafunzi hao haswa katika shule za bweni, huku baadhi wakikaidi amri ya serikali na kuwarudisha nyumbani. Na akama anavyoarifu chrispine otieno, wizara ya elimu inasema kuwa itatangaza hatua za kutatua changamoto hizo wiki ijayo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: