MWENYEKITI CCM NJOMBE ATOA MAAGIZO MAZITO KWA MKURUGENZI
Автор: Clever Media Tz
Загружено: 2023-08-23
Просмотров: 17
Kamati ya siasa wilaya ya Njombe imemuelekeza mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Njombe kutatua changamoto ya kukosekana maji katika shule ya sekondari Mtwango ili kusaidia wanafunzi kuondokana na shida hiyo kwa kuwa vyanzo vya maji vipo karibu na maeneo hayo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: