Kichocheo Cha Mafahali
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2012-10-29
Просмотров: 225340
Wengi husikia tu au labda kujionea kwenye runinga mikwaruzano na miereka wakati fahali wanapopimana nguvu bila ya kujua undani wa mchezo huu ambao ni tamaduni inayoenziwa sana magharibi mwa Kenya. Basi mwanahabari wetu Anders Ihachi amerejea kutoka kaunti ya Kakamega na anatusimulia kwa kiasi yale ambayo hujiri wakati wa kuwapiga msasa fahali hawa ili wawe tayari kwa vita. Mojawepo ikiwa ni kuwapa dawa maalum za kiasili na sio dawa tu bali bangi pia ni kiungo muhimu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: