Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Tabia 10 za Mtu Anaye Jitambua #1

Автор: KUJITAMBUA

Загружено: 2025-06-14

Просмотров: 28725

Описание:

Tabia 10 za Mtu Anaye Jitambua #1

Mtu anayejitambua ni yule anayeielewa nafsi yake, thamani yake, uwezo wake, na mipaka yake. Hapa chini ni baadhi ya tabia za mtu anayejitambua:
1. Ana uelewa wa hisia zake
Anajua anachohisi, kwa nini anahisi hivyo, na anaweza kudhibiti hisia hizo kwa njia chanya.
2. Anajiamini bila kiburi
Ana uhakika wa uwezo wake lakini haonyeshi majivuno au kudharau wengine.
3. Anakubali makosa na kujifunza kutoka kwayo
Hatoroki lawama. Anakubali alikokosea na hujitahidi kubadilika.
4. Ana mipaka ya kimaadili na kijamii
Anajua ni vitu gani haviendani na maadili yake na hatakubali kuvujiwa heshima au kunyimwa haki zake.
5. Ana hamu ya kujiendeleza
yuko tayari kujifunza jambo jipya, hana hofu ya kukosolewa, hukubali mrejesho (feedback) kwa mtazamo wa kujijenga, si kujihisi kushushwa thamani.

‪@MajaliwaMachinda‬ ‪@Kujitambua‬
‪@YouTube‬
‪@youtubepremieres-countdown14‬
‪@joelnanauka‬
‪@TheUnusualAfrican‬

Tabia 10 za Mtu Anaye Jitambua #1

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Tabia Tano Zinazokufanya Udharauwe Bila Kujitambua

Tabia Tano Zinazokufanya Udharauwe Bila Kujitambua

Tabia 10 za Mtu Anaye Jitambua #2

Tabia 10 za Mtu Anaye Jitambua #2

Nini Faida za Kujitambua?

Nini Faida za Kujitambua?

TABIA ZA WATU WAPOLE @rafikimshauri

TABIA ZA WATU WAPOLE @rafikimshauri

Tabia 4 Zinazokupeleka Kwenye Mafanikio ya Kifedha.

Tabia 4 Zinazokupeleka Kwenye Mafanikio ya Kifedha.

JINSI YA KUWEZA KUMSOMA MTU TABIA | Said Kasege

JINSI YA KUWEZA KUMSOMA MTU TABIA | Said Kasege

NAMNA YA KUPATA KILE UNACHOKITAKA ~ Dr. Joel Nanauka

NAMNA YA KUPATA KILE UNACHOKITAKA ~ Dr. Joel Nanauka

Nini Maana ya Kujitambua?

Nini Maana ya Kujitambua?

Fanya Haya 03 Kujitofautisha Kwenye Dunia Ya Mabadiliko Na Dr Joel Nanauka

Fanya Haya 03 Kujitofautisha Kwenye Dunia Ya Mabadiliko Na Dr Joel Nanauka

TABIA 4 ZA KUKUSAIDIA KUONGEZA PESA YAKO - Anthony Luvanda

TABIA 4 ZA KUKUSAIDIA KUONGEZA PESA YAKO - Anthony Luvanda

Madhara Ya Huruma Kupitiliza au Kujali Sana Wengine

Madhara Ya Huruma Kupitiliza au Kujali Sana Wengine

Kujitambua kwenye eneo la KIFEDHA

Kujitambua kwenye eneo la KIFEDHA

FALSAFA YA MAISHA ITAKAYOFUNGUA MACHO YAKO KWA NAMNA YA AJABU ~ Na Eng. Kabenda Balete

FALSAFA YA MAISHA ITAKAYOFUNGUA MACHO YAKO KWA NAMNA YA AJABU ~ Na Eng. Kabenda Balete

Misemo 5 Inayolazimisha Watu Kukuheshimu

Misemo 5 Inayolazimisha Watu Kukuheshimu

Njia 7 za Kumfanya Mtu Akusikilize na Akuamini

Njia 7 za Kumfanya Mtu Akusikilize na Akuamini

NJIA ZA KUKUPA FURAHA NA AMANI MAISHANI

NJIA ZA KUKUPA FURAHA NA AMANI MAISHANI

JOEL NANAUKA - VITA YA NYOTA CHIPUKIZI

JOEL NANAUKA - VITA YA NYOTA CHIPUKIZI

Mwelekeo Mpya Wa Maisha Yako Utengeneze Hivi - Dr Joel Nanauka

Mwelekeo Mpya Wa Maisha Yako Utengeneze Hivi - Dr Joel Nanauka

STAREHE YA MWANAMUME WASIYOIJUA WANAWAKE ~ Dr. Mwaka

STAREHE YA MWANAMUME WASIYOIJUA WANAWAKE ~ Dr. Mwaka

Je unafahamu kwanini UNAVUTIA aina hiyo ya watu kimahusiano hata kama HUPENDI? Na Elibariki Mkumbo

Je unafahamu kwanini UNAVUTIA aina hiyo ya watu kimahusiano hata kama HUPENDI? Na Elibariki Mkumbo

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com