Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Utoaji wa miche utafanyika kwa wakulima waliothibitishwa na maafisa ugani.

Автор: LUDEWA ONLINE TV

Загружено: 2025-12-30

Просмотров: 184

Описание:

KAHAWA YAENDELEA KUNOGA LUDEWA — WANANCHI LUPANDE WASHIKA KASI KILIMO CHA BIASHARA
Ludewa, Njombe:
Zao la kahawa limeendelea kupata msukumo mpya katika Wilaya ya Ludewa, huku wananchi wa Kijiji cha Lupande, Kata ya Mawengi wakionyesha mwitikio mkubwa wa kujiunga na kilimo hicho cha kibiashara baada ya kupatiwa miche bora bure kupitia mpango wa Serikali kwa kushirikiana na Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Njombe (NJORECO).

Zoezi la uzinduzi wa ugawaji wa miche hiyo limefanyika leo, Desemba 29, 2025 katika Kitalu cha Kikundi cha Kahama (Kahawa ni Mali) kilichopo eneo la Lyunguya. Uzinduzi huo umefanywa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa, Mhe. Wise Mgina, aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Ndg. Olivanus Thomas, akiambatana na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Ndg. Castory Kibasa.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Mhe. Mgina aliishukuru Serikali kupitia Bodi ya Kahawa kwa kutoa miche hiyo bure kwa wakulima, akisema hatua hiyo ni kichocheo kikubwa cha kuhamasisha wananchi kuingia kwenye kilimo cha biashara chenye tija.
Alibainisha kuwa Halmashauri imejipanga kutenga fedha kusaidia wakulima wanaojikita kwenye mazao ya biashara kama kahawa, huku akiwataka maafisa kilimo kushuka mashambani badala ya kukaa ofisini ili kuwasaidia wakulima kutatua changamoto zao.

Kwa upande wake, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, Ndg. Castory Kibasa, akiwasilisha taarifa ya uzalishaji wa kahawa wilayani humo alisema hadi sasa kuna wazalishaji nane wa miche ya kahawa, na jumla ya miche 593,000 inatarajiwa kuzalishwa.
Alisisitiza kuwa utoaji wa miche hiyo utafanyika kwa wakulima waliothibitishwa na maafisa ugani kuwa wanakidhi vigezo vya kupokea miche.

Wananchi wa Lupande wamefurahishwa na mpango huo, wakieleza kuwa kahawa ni zao la uhakika lenye bei nzuri sokoni na litachangia kuongeza kipato cha familia pamoja na mapato ya Halmashauri.

Zoezi la ugawaji linaendelea katika vikundi mbalimbali ikiwemo Kikundi cha Umoja Mawengi, Kahawa ya Vikonyo Lufumbu (Kata ya Mlangali), Kikundi cha Ukavil Ligumbiro, Kahawa ya Vikonyo Ludende, Ludewa Coffee Seedlings Ludewa na Kikundi cha Njelela.

Wananchi wameahidi kushirikiana na Serikali na kusimamia vyema miche waliyopewa ili kulifanya zao la kahawa kuwa mkombozi wa kiuchumi kwao na kwa vizazi vijavyo.

Utoaji wa miche utafanyika kwa wakulima waliothibitishwa na maafisa ugani.

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

SUA YAPELEKA MANUFAA KWA WAKULIMA TANGANYIKA.

SUA YAPELEKA MANUFAA KWA WAKULIMA TANGANYIKA.

KAHAWA YAENDELEA KUNOGA LUDEWA — WANANCHI LUPANDE WASHIKA KASI KILIMO CHA BIASHARA.

KAHAWA YAENDELEA KUNOGA LUDEWA — WANANCHI LUPANDE WASHIKA KASI KILIMO CHA BIASHARA.

MICHE MILIONI SITA YA KAHAWA YAGAWIWA BURE KWA WAKULIMA WILAYANI MBINGA.

MICHE MILIONI SITA YA KAHAWA YAGAWIWA BURE KWA WAKULIMA WILAYANI MBINGA.

Ludewa ya Utalii

Ludewa ya Utalii

ONYO KALI KWA WAVAMIZI WA MISITU

ONYO KALI KWA WAVAMIZI WA MISITU

Румыния отреагировала на заявления Санду: что ответил Бухарест

Румыния отреагировала на заявления Санду: что ответил Бухарест

Kilimo cha matangi Rungwe

Kilimo cha matangi Rungwe

DC LUDEWA ATOA MAJIBU JUU YA BARABARA YA LUSITU, MADILU HADI ILININDA

DC LUDEWA ATOA MAJIBU JUU YA BARABARA YA LUSITU, MADILU HADI ILININDA

Громкий скандал! Борисовский мясокомбинат кормил людей токсичным мясом. Кого наказали? // Новости

Громкий скандал! Борисовский мясокомбинат кормил людей токсичным мясом. Кого наказали? // Новости

DC LUDEWA ATATUA MGOGORO WA ARDHI KIJIJI CHA MADUNDA

DC LUDEWA ATATUA MGOGORO WA ARDHI KIJIJI CHA MADUNDA

DC LUDEWA ATOA WITO KWA WANANCHI NA WAFANYABIASHARA KUCHANGAMKIA FURSA NA KUJIANDAA KWA UWEKEZAJI.

DC LUDEWA ATOA WITO KWA WANANCHI NA WAFANYABIASHARA KUCHANGAMKIA FURSA NA KUJIANDAA KWA UWEKEZAJI.

Граница под замком! Беларусам запретят уезжать за границу. Кого коснётся? // Новости

Граница под замком! Беларусам запретят уезжать за границу. Кого коснётся? // Новости

MASHESHE WAFUNDWA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI

MASHESHE WAFUNDWA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI

DC LUDEWA AOMBA RIDHAA YA EKARI 120 KUJENGA UWANJA WA NDEGE MAWENGI NA MBWILA.

DC LUDEWA AOMBA RIDHAA YA EKARI 120 KUJENGA UWANJA WA NDEGE MAWENGI NA MBWILA.

DC LUDEWA AKAGUA MRADI WA MAJI  KITONGOJI CHA NYAMAPINDA WILAYANI LUDEWA.

DC LUDEWA AKAGUA MRADI WA MAJI KITONGOJI CHA NYAMAPINDA WILAYANI LUDEWA.

UTEKELEZAJI WA MRADI WA LISHE SHULENI (GAIN PROJECT) WILAYANI MISSENYI

UTEKELEZAJI WA MRADI WA LISHE SHULENI (GAIN PROJECT) WILAYANI MISSENYI

Реакции на заявления Санду об

Реакции на заявления Санду об "унире": Измена родине и нарушение присяги

WANANCHI LUDEWA WAMUUNGA MKONO DC WAO KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUOKOTA TAKA.

WANANCHI LUDEWA WAMUUNGA MKONO DC WAO KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUOKOTA TAKA.

DC LUDEWA AWATAKA WAKULIMA KUONGEZA THAMANI YA PARACHICHI IKIWEMO UZALISHAJI WAFUTA

DC LUDEWA AWATAKA WAKULIMA KUONGEZA THAMANI YA PARACHICHI IKIWEMO UZALISHAJI WAFUTA

"HALMASHAURI IMEANZA KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA MASOKO KWA KUANZISHA VITUO VYA KUKUSANYIA MAZAO"

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com