ONYO KALI KWA WAVAMIZI WA MISITU
Автор: Bugoma TV
Загружено: 2026-01-02
Просмотров: 190
KATAVI: Mkuu wa wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi Onesmo Buswelu amepiga marufuku kwa raia yeyote kuingia katika misitu inayotunzwa na kuhifadhiwa kwa ajili ya biashara ya kaboni.
Buswelu ameyasema hayo mara baada ya kutembelea na kukagua misitu ya tongwe mashariki na tongwe magharibi huku akiwa na wakuu wa idara na kamati a ulinzi na usalama ambapo amesema misitu hiyo inatarajiwa kuingizwa katika biashara ya kaboni.
Kaimu mkurugenzi mtendaji wa halimashauri hiyo Philimon Mwita akisema doria na utoaji elimu kwa wananchi ndio mpango mkakati wa kuhakikisha misitu inadumu.
Kwa upande wake Masunzu Jidayi ambaye ni mtafiti wa Sokwe katika misitu hiyo akisema moja ya tafiti waliyobaini ni Sokwe kila uyoga.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: