'ASIYEPELEKA MTOTO SHULE KUSAKWA-RC MRINDOKO
Автор: Bugoma TV
Загружено: 2026-01-14
Просмотров: 42
KATAVI: Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amefanya ziara katika shule za awali, msingi na sekondari ikiwa ni sehemu ya kukagua hali ya wanafunzi kuripoti shule.
Katika hatua hiyo Mrindoko amepiga marufuku mwanafunzi kuzuiliwa kupokelewa shule hata kama hana mahitaji muhimu ikiwemo sare za shule.
Aidha Mrindoko amewataka wazazi na walezi kuwapeleka wanafunzi shule kwa wakati sahihi ili kuungana na wenzao ili waweze kufundishwa kwa pamoja.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: