MRADI WA KUPANDA MITI 150,000 BARIADI DC WAANZA KUTEKELEZWA
Автор: Bariadi DC
Загружено: 2026-01-07
Просмотров: 32
Bariadi DC yaanza upandaji wa Miti elfu 75 katika hifadhi za Bwawa la Ngulyati ikiwa ni utekelezaji wa mradi unaofahamika kama:
"Mradi wa Kuzalisha Miche 150,000 na Kupanda Miti kwenye hifadhi za Mabwawa ya Ngulyati na Matongo yaliyopo katika Kata za Ngulyati na Matongo, Halmashauri ya Wialaya ya Bariadi, Mkoa wa Simiyu"
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: