TUKIO LA KUTEGEMEZA
Автор: EAGT. MBANDE, KISEWE.
Загружено: 2026-01-17
Просмотров: 12
KUTEGEMEZA NDANI YA NYUMBA YA MUNGU NI SEHEMU KUBWA YA IBADA HASWA KWENYE MAKANISA YA WOKOVU KAMA EAGT MBANDE KISEWE, tukio hili hufanyika kwa vikundi mbali mbali ndani ya kanisa hufanyika kwa nia ya kutegemeza MCHUNGAJI na familia yake Kwasababu mtumishi wa Mungu huwa anakazi 1 ya kuwatumikia watu na simfanyakazi wa mshahara kama baadhi ya makanisa yanavyofanya, makanisa mengi ya kiroho wachungaji huifanya kazi ya MUNGU kuwa Ni wito ndio maana huwa wakati mwingine wanapitia maisha magumu zaidi kwasababu Mungu kawaita watumike madhabahuni, hivyo kutegemeza ni namna ya kuonyesha shukurani kwa Mungu kutupa mtumishi wa kutuongoza
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: