Elon Musk: Bilionea Muafrika Kusini aliyempiku Bill Gates na kuwa TAJIRI #2 Duniani
Автор: Simulizi Na Sauti
Загружено: 2020-11-26
Просмотров: 30260
Elon Musk amempiku rasmi Bill Gates na kuwa mtu tajiri namba mbili duniani, ikiwa ni wiki moja tu baada ya kumpiku mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg na kuwa tajiri namba 3 duniani.
Mfahamu zaidi bilionea huyu kwenye makala hii
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: