Cheka na vituko vingine vya Mbunge 'Bwege' Bungeni
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-05-10
Просмотров: 198942
Mbunge wa Kilwa Kusini Suleiman Bungara maarufu kwa jina la ‘Bwege‘ alisababisha Wabunge kuangua vicheko wakati akichangia bajeti ya Wizara ya maji na umwagiliaji kutokana na aina ya uwasilishaji wa hoja zake.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: