HII NDIYO NDOA SAHIHI KWA MUJIBU WA DINI MAHARI YAKABIDHIWA MBELE YA MASHAHIDI! COMIBU YATHIBITISHA
Автор: BAMBARA TV
Загружено: 2026-01-09
Просмотров: 9090
Katika Makao Makuu ya Kiislam nchini Burundi (COMIBU) tukio adhimu la ndoa halali limefanyika kwa mujibu wa mafundisho ya Qur'an na Sunna. Ndoa hii imeongozwa na Naibu Qadwi Sheikh Jamal Swaleh ambapo mahari ilikabidhiwa kwa heshima mbele ya mashahidi.
TV yetu ya Kiislam BAMBARA TV ilikuwa pamoja nao, tukirekodi kila hatua ya ibada hii tukufu ili kuonesha mfano wa ndoa yenye baraka, haki, na uhalali. Tunakualika kuitazama video hii ujifunze zaidi kuhusu nafasi ya mwanamke katika ndoa, umuhimu wa kufunga ndoa sahihi, na mchango wa Baraza la Masheikh katika kuijenga jamii ya Kiislam.
Waatun-nisaa saduqaatihinna nihlah” (Wapeni wanawake mahari yao kwa radhi yao) – Qur'an 4:4
#NdoaYaKiislam #Mahari #COMIBU #TVyaKiislamBurundi #SheikhJamalSwaleh #BarazaLaMasheikh #ElimuNaMaadili
#kishkitv#Alhajartv#khidmatv
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: