ZILE NDOTO ZA WAISLAM WA BURUNDI ZAPATA MUELEKEO SHEIKH JAMAL NA SHEIKH SULEIMAN WATHIBITISHA .
Автор: BAMBARA TV
Загружено: 2025-12-16
Просмотров: 955
Katika jitihada za kujenga Ofisi Kuu ya Kiislam Nchini Burundi, viongozi mashuhuri wa Dini Sheikh Jamal na Sheikh Suleiman wametembelea eneo la ujenzi na kutoa taarifa rasmi kuhusu hatua iliyofikiwa. Colonne zote zimekamilika, na kwa sasa mahitaji makubwa ni nondo za 12 ili kuanza kazi ya kuweka dalle.
Tunawashukuru kwa dhati wale wote wanaoendelea kujitolea kwa hali na mali. Mchango wako bado unahitajika ili kufanikisha ndoto hii tukufu ya Waislam wa Burundi.
Tuchangie, tushirikiane kwa ajili ya Uislam na vizazi vijavyo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: