SHEIKH JAMALUDDIN OSMAN KUTOKEA KENYA AWASILI BUJUMBURA| ZIARA MAALUM YA KIIDAWAH NCHINI BURUNDI.
Автор: BAMBARA TV
Загружено: 2025-11-13
Просмотров: 1224
Kwa mara ya kwanza, Sheikh Jamaluddin Osman kutoka Kenya awasili rasmi jijini Bujumbura kwa ziara maalum ya Ki-Daawah. Mapokezi ya kihistoria yamefanyika, yakiongozwa na mashaykh na waumini mbalimbali. Katika ziara hii, Sheikh anatarajiwa kuhutubia, kutoa nasaha, na kuhamasisha umoja wa Kiislam nchini Burundi.
▶️ Usikose kufuatilia kila hatua ya ziara hii kupitia channel yetu.
📍Maeneo atakayofika, mihadhara, na mawaidha yote yatawekwa hapa.
SUBSCRIBE na SHARE ili ujumbe huu uwafikie wengi.
#SheikhJamaluddin #ZiaraYaDawah #IslamBurundi #BambaraTV1
#Al hajarkenya#kishkitv
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: